Ukweli wa Mambo: Katiba Mpya – Tuangazie Mifumo Wenyewe Hasa
KATIBA MPYA ITAKUJA BALI TUANGAZIE MFUMO WENYEWE HASA Makala ya Nguvu ya Hoja kwa KSB Jumapili Januari, 2010 na Ndugu Mwandawiro Mghanga Ninakariri, ukombozi wa wengi utapatikana wakati tutakapotoka kwa ndoto na kurudi katika dunia halisi ya harakati za kitabaka na kujizatiti ipasavyo. Ndiyo, mwaka huu tutapata katiba mpya. Wacha ije. Lakini maisha mapya nchini bado yako mbali. Maana katiba
Read more