June 7, 2026

2 thoughts on “Vumbi Dekula December Schedule

  1. Asante sana kaka Dekula kwa muziki mtamu, niliwatembela ijumaa toka Danmark na nika furahia muziki. Sana nili furahia kaka SAMMY KASULE na sauti yake nyororo nilio isikia miaka ya hapo zamani. hoora… Sammy, wewe ni yule yule!!!!

  2. Asante sana na wewe pia Kaka Braza kwa kututembelea na kupata Burudani ya Ijumaa ku enjoy nasi pamoja,tuna kukaribisha tena utakapokua Sweden kuelekea Danmark uje kucheza “Ngoma ya Kilo” kwa sauti nyororo ya Sammy Kasule,Jean Jacques,Christina Frank na Yaya Sella,karibu tena.

    Dekula Band

Leave a Reply

Discover more from KENYA STOCKHOLM BLOG

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading