
NDOA ya wanaume wawili wa Kenya iliyofungwa jijini London, Uingereza, ilizua gumzo la wiki nchini Uingereza, hususan miongoni mwa Wakenya wanaoishi Uingereza. Ndoa hiyo iliyofungwa Jumamosi ya Oktoba 17, mwaka huu, kati ya Bw Daniel Chege Gichia (39) na Charles Ngengi (40), jijini London. Hii ni ndoa ya kwanza ya mashoga wa Kenya kufungwa nchini Uingereza ambapo wote ni raia wa Kenya.
Timu ya takribani watu 20, wakiwamo wageni waalikwa, waliwasili katika Ukumbi wa Islington Town Hall. Sherehe hiyo iliwajumuisha wapambe wawili wanawake kutoka Kenya na wanaume wawili, mmoja wao akiwa aliwasili katika shughuli hiyo maalumu akitokea Uholanzi kwa ajili ya sherehe hiyo.
Shughuli hiyo iliyodumu kwa nusu saa iliendeshwa na msajili wa ndoa katika Baraza la Islington.
Sherehe za ndoa hiyo inayoelezwa kuwa haikuhudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia zote mbili ilizua shutuma kali miongoni mwa raia wa Kenya wanaoishi Uingereza ambao walisema ni ushenzi ambao hawakubaliani nao.
NOTE: This story has been reported widely around the world and KS-beers can have their share in Kiswahili. SOURCE
Related: Kenya wont allow gay marriages
Nilishikwa na bumbuwazi hata maneno zaidi sina ya kuongezea. This was quoted somewhere:
“There was tension at the reception as some of the security team evicted some cameramen fearing that the news and photos would land into Kenya newspapers. Among the guests who attended the wedding was a old Kenyan lady currently visiting UK who was escorted by her three daughters to the wedding”.
“After witnessing what was happening the old lady had this to say: “Ngai ûroigire ûndehe rûraya nyone maûndû moru ta maya itanakua. Nîkî hihi? Kana nîkio airîtu aya aitû maraga athuri? (How come God allowed me to come over to the UK to see such things? Why? Is this what is causing our girls not to marry?)” The disappointed lady commented.
Ajabu,the photos already got here. And the storo has created fire, especially among church leaders and such. All the same the two are well known to the gay community. And dont know why the relas were shocked coz the `bride’ had taken `her’ white husband right to `her’ village. May be they dint say what they were upto but Iam sure guys in shags read between the lines. Wanjua the way whites like holding what they love. Now that they are one,all we have to do is wish them a happy ending. Emmedietly after this storo,another one of a dude who changed to a chick filled the news room. ……there we go…….
This seems odd,but we always call on Ngai“s name whereelse we are sinning in so many other ways.These men are heroes,they come out open and stand up saying,we are what we are.In muslims countries boys have always been raped while people hold on their korans.Catholic fathers have destroyed alot of alter-boys.Priests `inherit` widows.HIV\AIDS should be unheard in our community if we were that pure and holy.So stop pretending.
Hapo dame umesema. wakijiskia na mathatha, nisawe tu.On the other side pia madame have started falling for dames, real kenyans. Tuseme nini and they are over 18 yrs.Wadoane as they like, I dnt care much but if someone goes for kids, then mjue kumethuka, and then can we make noise n get them behind bars. ´Lets stop pretendig
God created man and woman for the procreation of life and that is to say that marriage is meant between man and woman. The British imperialists who has been pressing the law review team in kenya on gay rights were trying to pull a fast one by highlighting this unafrican type of relationship.As a Christian i do condemn this kind of relationship with the strongest terms possible. Christians stand up to be counted and not turn the other cheek. Be bold and strong coz the Lord we are serving is faithful and trustworthy.
Alas’
Mungu Mwanyezi alipoumba Adam aliona sio vema Adamu awe pekee akampa msaidizi “Eva” mwanamke sio mwanamume hivyo basi hawa mashoga wanshindana na Mungu kwani wanaona nimakosa mungu aliwaumba wanaume.waache kujidanganya wao sio wazungu sisi waafrica tuna heshima zetu wala tusiige mambo ya kizungu kwa upumbavu jamani.ni kweli ushoga ulikuwa Kabla hata Yesu ajazaliwa na Mariamu enzi za Sodoma na Gomora lakini vile vile tunajua adhabu yao ilikua nini nafiki pia adhabu ya hao iko Karibu tuwaombee wana wapotevu.
Amakweli mwanaadamu si kamili! yani watu wakokwao wala vituvyao,kwaraha zao, kwasenti zao na kwa wakatiwao, nyie wanaadam kinachowakera nkipi? Hivi wagalikuwapo jijini Nairobi barabarani kiwanyoshea mikono kuwaobeni senti ndo ingekuwa bora zaidi heee!!!
Yani wewe na mmeo au mkeo au hawara wako, muloyafanya jana na juzi kitandani wawili, yakaonyeshwa kwenye video yani hata hayasemeki!kwamfano- kulitia dude la mmeo kinywani yako wapi kwenye iyo bibilia?? huku yawenzenu mwayavalia njuga!!!!!