July 24, 2026

1 thought on “Je, Unaikubali Katiba Pendekezo ya Kenya? Jibu Langu ni Ndiyo!

  1. Hujambo!

    Tafadhali uniambie Katiba ya Kenya kwa lugha ya Kiswahili inapatikana wapi kwa mtandao? Inaonekana haipatikani kwa wavuti wa parliament, wala wa rais, wala wa waziri mkuu. Nimepata tu Kielelezo Pantanifu cha Katiba ya Kenya na Muhtasari/ maandishi ambayo yameandikwa kabla ya Mei 2010.

    Ahsante

    Paulo.

Leave a Reply

Discover more from KENYA STOCKHOLM BLOG

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading