May 5, 2026

6 thoughts on “Stuff Kenyans Like: Ugali

  1. Osewe wacha urogi. Manze nimekuwa nikimeza mate tangu nifunguwe KSB juu hiyo ugali na sukuma wiki plus nyake inatuma nimiss home. Spouse wangu mswidi ame ban kupika ugali hapa kwa hivyo mimi hungoja saa zile hayuko ndiyo naikalia kfua wazi. Yeye husema ugali haina ladha kwa hivyo ni potatis, spaghetti na rice kila siku. Nitaweka hizi picha kwa desktop yangu nimezange mate kila siku.

  2. Bw OO Yaani umemiss ugalai sanaa mpaka umechora!..mama watoto amejam kukupikia au?? Leta mleto. Basi nikwambie hivi..ulipochora hiyo stori ya ugangaa nilienda kwa store yaangu na kubuy Pan..jana nimeshiba sanaaa isipokuwa nilimiss sukuma wiki..unazo kwa frigi yako ya thelugi au tuwait hadi summer ndivyo zipatikane kutoka kwa wakulima hapa stoki? Wikendi njema na usinisahau kunipaha habari au fununu za sukuma..niko redi kuchota mikebe mbili hivi kwa info!

    KSB: Kuna kraisis kwa sababu I have to get it after every 6-12 hrs so tuna nego accord ya at least 12-24 hrs. Kuandika ya kwamba wakenya wanaipenda ina saidia propaganda b4 saining of the accord next wik. Kuna si-kuma wiki ili toka gishagi lakini zimededi kwa hivyo tuna mek du with photo copies from some Thai shop hapo kwa cona na sam fis. Bai the wey r u sitil planing that risach projekt 2 kip ahead ov that gai?

  3. I really be proud of being kenyan and i like ugali very much..bt i would like to know how to we call the remains ugali in the sufuria after cooking

    KSB: In Luo, it is called “odeyo”. If you cannot find an alternative word for it in your language, you can invent it by incorporating “odeyo” in your new word. In Lingustics, this process is called the “derivative” method of word creation. If you however decide to just use the word in your language (like safari is a Swahili word also found in English and has the same meaning in both languages), the process is called word “adaptation”. Either way, you get your word and you will be more happy to have found your word for the promotion of the word “ugali”. A sentence construction can read like “to remove odeyo from sufuria, you first need to fill it with water.

Leave a Reply to Maina MwangiCancel reply

Discover more from KENYA STOCKHOLM BLOG

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading